Land General Planning Co. Ltd

Call Directions Website Contact the business

Land General Planning Co. Ltd Land General Planning Co. Ltd; Established to carry on Land Planning, Land survey, Real estates and Tukiwa tunapatikana Mailimoja - Kibaha - TANZANIA

ltd wabovevu katika uandaaji wa ramani za mipango mi
ji, upimaji na uuzaji viwanja.

03/09/2026

Site reconnaissance and due deligence

01/09/2026
24/08/2026

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa Kanisa la Anglican kwa kutuamini na kuamua kuwekeza nasi katika mradi wetu wa Mataya. Imani yenu kwetu ni heshima kubwa na chachu ya kuendelea kufanya kazi kwa uaminifu, weledi na uwajibikaji. Tunathamini sana ushirikiano huu na tunaahidi kuendelea kujenga mahusiano imara yatakayozalisha mafanikio makubwa kwa pande zote. Asanteni sana kwa kutuamini na kuwekeza nasi. 🙏🏽🏡📈 _@anglicantanzania

11/08/2026

#

16/07/2026

Mradi mkubwa shirikishi wa Upangaji, upimaji na uchongaji Barabara Halmashauri ya wilaya Manyoni,
Tunawashukuru wadau Kwa kutuamini.
MANYONI DISTRICT COUNCIL WIZARA YA ARDHI Singida RS
Elimu juu ya utekelezaji wa mradi ili eleweka vzr, ushirikishwaji juu ya utekelezaji wa mradi umefanyika Kwa viwango vya Hali juu sana na Sasa hatua ya ufunguaji Barabara unaendelea ili kuja kurahisisha zoezi la upimaji na upandaji wa mawe.

Address

P. O. BOX 30235
Kibaha
61102

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 07:30 - 17:00

Telephone

+255753283004

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Land General Planning Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Land General Planning Co. Ltd:

Shortcuts

Share

Category