16/10/2026
IRINGA MJINI (Z**i) - Kiwanja Kimepimwa Tayari!
📐 Ukubwa: 1,446 Sqm (Kiwanja kikubwa, unaweza kugawanya viwili)
💰 BEI MPYA: TZS 17 Mil Tu!
SIFA ZAKE
✅ KIMEPIMWA - Ramani ipo, Upimaji umekamilika 4/6/2026
✅ MAJI & UMEME VIPO - Huduma zote zipo jirani
✅ HATI INAENDELEA - Survey No. 134, Kitalu A - hati inakuja
✅ ENEO TULIVU - Majirani wapo
✅ INVESTMENT DEAL - 1446 Sqm unaweza kujenga nyumba za kupangisha, au kiweka godown