09/11/2026
📍CHAMWINO (Chamwino Hill View Project)
📌8km kutoka roundabout ya Ikulu ya Chamwino Dodoma.
📌Km 1 kutoka barabara kuu ya Msanga-Chilonwa
SIFA ZA MRADI
✅Mradi umepimwa
✅Mradi ni tambarare
✅Huduma zote zakijamii zipo
✅Mradi upo karibu na Ikulu Saccos
💵BEI ZA MRADI💵
📌Sqm 1 ni TZS 12,000 malipo ya cash ndani ya miezi mitatu.
📌Sqm 1 ni TZS 15,000 malipo ya awamu (kidogo kidogo) kwa miezi 20.
✅Anza na malipo ya TZS 337,500 tu, Umiliki kiwanja cha ukubwa wa SQM 450.
Siku za kutembelea site🚘
✅Jumatano
✅Jumamosi
✅Jumapili
Ofisi Zetu Zinapatikana
📍Dodoma Nyerere Square jengo la Imarika Ghorofa ya 2.
📍Dar es Salaam Makumbusho Jengo la Mwanga Tower Ghorofa ya 12.
📞0675557452