Daso Property

Call Directions

Daso Property We deal with markerting and advertising of real estates,services,products and directory of your business to your every customer in the world.

03/07/2021

Kwa mahitaji ya viwanja vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa kwa maeneo ya kibamba,kiluvya,kibaha mpaka chalinze usisite kututafuta tukuhudumie.

02/03/2021

Kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa mita 20. Kipo kibaha maili moja mtaa wa muheza. Umeme na maji vipo karibu. Bei ni milion tano (5,000,000/-)

11/01/2021

Kwa mahitaji ya viwanja au mashamba wilaya za kibaha mjini,kibaha vijijini,bagamoyo,chalinze na sehemu zingine nyingi tu,viwanja vipo sehemu mbalimbali kwa bei rafiki kabisa. Namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ni 0713 225537

09/08/2020

Kiwanja cha ukubwa wa mita 20 kwa mita 20(20Ă—20) kinauzwa kibaha,maili moja ni kilomita 4 kutoka barabara ya lami. Maji na umeme vipo. Kinauzwa million tatu (3M Tshs). Hakuna dalali.

28/08/2018

Kiwanja kinauzwa kipo mailimoja shuleni,kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami(morogoro road)
Ukubwa ni nusu ekari
BEI: 10 Million(million 10)

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa vipo kibaha,picha ya ndege maeneo ya lulanzi.Bei: 10,000/- kwa square metre 1.Malipo ni aw...
10/08/2018

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa vipo kibaha,picha ya ndege maeneo ya lulanzi.
Bei: 10,000/- kwa square metre 1.
Malipo ni awamu 3 kwa mwaka.

26/09/2017

Viwanja vinauzwa ukubwa ni sqm 400 na kuendelea,yaani ukubwa ni mita 20 kwa mita 20. Viwanja vipo kibaha,mailimoja. Kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami.

BEI: Million mbili na nusu (2,500,000/-)

SIMU: 0713 225537

10/07/2017

Shamba ekari sita (6) lipo bagamoyo maeneo ya vikawe linauzwa na mwenyewe.
BEI: MAELEWANO

12/06/2017

Viwanja vinauzwa kibaha kwa mfipa,ukubwa ni mita 20 kwa mita 20.
BEI: million tatu (3,000,000/-)
maongezi yapo.
SIMU: 0713 225537

12/06/2017

Viwanja vinauzwa kibaha mailimoja,vina ukubwa wa mita 20 kwa mita 20. Njia inapitika na inafika mpaka viwanja vilipo.
BEI: million tatu (3,000,000/-)
SIMU: 0713 225537

Address

Postal Box 30221 Kibaha
Dar Es Salaam

Telephone

+255713225537

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daso Property posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category