Ramaha Land

Call Directions

Ramaha Land Karibu Kwa Ununuzi Wa Viwanja Bora & Makazi Bora Na Salama

+255674582245
+255699088721
+255741194541

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LANDANZA NA LAKI TANO AU 50% KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU,MIN...
06/06/2026

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND
ANZA NA LAKI TANO AU 50% KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU,MINNE MPAKA SITA.
_____________________________________
0674582245, 0741194541 , 0699088721)!
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

BEI ZETU
Fut 50 kwa 40 = 1,200,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,300,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,500,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,600,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,800,000/
Fut 50 kwa 40 =2,000,000/
Fut 50 kwa 40 =2,500,000/
Fut 50 kwa 40= 3,000,000/
Fut 50 kwa 40 = 4,000,000/

Ukubwa sawa bei tofauti tofauti kwasababu ya maeneo tofauti tofauti.Pia unaweza kuunganisha viwanja kuanzia viwili nakuendelea

UKUBWA KWA MITA
12Ă—15= SQM 180
12Ă—30=SQM 360
24Ă—15=SQM 360
24Ă—30=SQM 720
24Ă—45=SQM 1080
30Ă—36=SQM 1080

VIWANJA VIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO
__________________________________

RAMAHA LAND
Viwanja vipo vya kutosha tambarare, umeme upo,maji yapo, shule zipo, zahanati zipo barabara za uhakika gari zinafika mpaka kwenye kila kiwanja.

Kutembelea site ni siku zote na ni muda wowote kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.

HAKIKISHA UNAPIGA SIMU KWA MAHITAJI YA VIWANJA BORA KWA MAKAZI NA BIASHARA

Kwa mawasiliano zaidi piga.
0674582245,0741194541au0699088721

VIWANJA KWA AJILI YA BIASHARA. MBAGALA MBANDE MIPEKO. VIPO MIPEKO B. BEI FUT 50 KWA 40 TSH 4,500,000/ KWA MAWASILIANO ZA...
02/06/2026

VIWANJA KWA AJILI YA BIASHARA. MBAGALA MBANDE MIPEKO. VIPO MIPEKO B. BEI FUT 50 KWA 40 TSH 4,500,000/

KWA MAWASILIANO ZAIDI 0674582245, 0741194541

VIWANJA KWA AJILI YA BIASHARA. MBAGALA MBANDE MIPEKO. VIPO MIPEKO B. BEI FUT 50 KWA 40 TSH 4,500,000/ KWA MAWASILIANO ZA...
02/06/2026

VIWANJA KWA AJILI YA BIASHARA. MBAGALA MBANDE MIPEKO. VIPO MIPEKO B. BEI FUT 50 KWA 40 TSH 4,500,000/

KWA MAWASILIANO ZAIDI 0674582245, 0741194541

KARIBU RAMAHA LAND KWA MAHITAJI YA VIWANJA BORA NA SALAMA.0674582245 na 0741194541Tunakuletea site mpya Mbagala Kisemvul...
22/05/2026

KARIBU RAMAHA LAND KWA MAHITAJI YA VIWANJA BORA NA SALAMA.0674582245 na 0741194541

Tunakuletea site mpya Mbagala Kisemvule Mwanambaya. Ukiwa Kigamboni au Mbagala panda gari moja tu shuka Mwanambaya. Nauli kutoka Mbagala mpaka Mwanambaya 1,200/ tu.

Umbali kutoka barabara ya rami stand mpaka site unaweza kutembea tu boss wangu. Umbali wake ni kilomita moja na nusu tu.

Site imepaka na Raisi wa awamu ya pili Mh Ally Hassan Mwinyi. Ukishuka Mwanambaya stand sema nakwenda kwa Mwinyi utafika bila shida.

(1)Barabara ni ya uhakika mpaka site
(2) Maji yapo hapo hapo site
(3) Zahanati na shule zipo njiani tu ukiwa unaelekea site zote utaziona
(4) Umeme upo ni kujenga na kuvutia tu

Viwanja ni tambalale safi kabisa

UKUBWA WA VIWANJA NA BEI ZETU
Mita 12.5 kwa 30 Tsh 8,000,000/
Mita 25 kwa 30 Tsh 16,000,000/

Lipa yote au anza na nusu kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu

Ofisi zetu zipo Mbande na Mipeko zinafunguliwa kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.

Kutembelea site ni kila siku kwa mawasiliano zaidi piga 0674582245 na 0741194541 karibuni sana wateja wetu.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255674582245

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramaha Land posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category

Nearby realtors & realty services