Real Estate Expert

Call Directions Contact the business

Real Estate Expert Dealers in real estate services

🌟 ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA ZETU ZA VIWANJA 🌟Karibu upate fursa bora za umiliki wa ardhi katika maeneo yenye ukuaji wa ha...
06/08/2026

🌟 ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA ZETU ZA VIWANJA 🌟

Karibu upate fursa bora za umiliki wa ardhi katika maeneo yenye ukuaji wa haraka na bei nafuu. 🏡✨

Tunakuletea viwanja vilivyopimwa, malipo rahisi na huduma bora kwa kila mteja.

📍 KIBAMBA SHULE
📍 KIBAHA VISIGA MADAFU
📍 KIGAMBONI – KISARAWE 2
📍 BAGAMOYO – KEREGE
📍 KIGAMBONI – KIMBIJI PUNA
📍 RAS BAMBA BEACH – KIGAMBONI
📍 KIBAHA MAILI MOJA

✅ Bei nafuu
✅ Malipo ya awamu yanayokufaa
✅ Site Visit BURE kila siku
✅ Maeneo yenye fursa kubwa za maendeleo

🏢 Perfect Property Company Limited
Mwenge – Bamaga, Dora Tower, Floor ya 4

📞 Piga/WhatsApp:
0626 783 900 | 0768 579 000

✨ Usikose fursa ya kumiliki ardhi leo na kuwekeza kwenye kesho yako bora.

Perfect Property Co. Ltd – Committed To Excellence! 🏡🌍

🔥 KIGAMBONI – KIMBIJI PUNA (AWAMU YA PILI) 🔥Miliki kiwanja chenye HATI kwa bei nafuu! 🏡🔑✅ Mita 300 tu kutoka barabara ku...
04/08/2026

🔥 KIGAMBONI – KIMBIJI PUNA (AWAMU YA PILI) 🔥
Miliki kiwanja chenye HATI kwa bei nafuu! 🏡🔑

✅ Mita 300 tu kutoka barabara kuu inayowekwa lami
✅ Viwanja vimepimwa + Survey Approval
✅ Umeme, maji, shule na hospitali karibu

💰 Cash: Tsh 12,000/sqm
💳 Awamu: Tsh 15,000/sqm (hadi miezi 12)
💵 Anza na Tsh 1,000,000 tu!

📍 Mwenge, Dora Tower – Ghorofa ya 4
📞 0768 579 000 | 0626 783 900

⚡ Fursa adimu kwenye eneo linalokua kwa kasi—weka nafasi yako leo kabla bei haijapanda!

Tunawatakia Jumapili Njema
02/08/2026

Tunawatakia Jumapili Njema

Happy New Month
01/08/2026

Happy New Month

🔥 MRADI MPYA – KIBAHA MAILI MOJA 🔥Wekeza leo, jenga kesho! 🏡✨📍 Eneo: Kibaha Maili Moja📏 Umbali: Mita 900 tu kutoka Barab...
28/07/2026

🔥 MRADI MPYA – KIBAHA MAILI MOJA 🔥
Wekeza leo, jenga kesho! 🏡✨

📍 Eneo: Kibaha Maili Moja
📏 Umbali: Mita 900 tu kutoka Barabara ya Lami (Maili Moja–Baobab/Mapinga Road)

✅ Viwanja vimepimwa (Survey Approved)
✅ Maji yanapatikana
✅ Umeme upo karibu
✅ Barabara nzuri za kufikika mwaka mzima
✅ Eneo linaendelea kwa kasi kubwa

💰 Bei Maalum: Kuanzia TZS 11,025,000 tu

🎯 Inafaa kwa:
🏠 Makazi
🏢 Biashara
📈 Uwekezaji wa muda mfupi na mrefu

📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo.

Ardhi ni mali isiyoongeza uzalishaji wake—nunua leo kabla bei haijapanda! 🌟🏡

🔥 USIKOSE KUTEMBELEA MIRADI YETU YA VIWANJA🔥Karibu uje utembelee miradi yetu ya viwanja vya gharama nafuu hapa....hii ni...
24/07/2026

🔥 USIKOSE KUTEMBELEA MIRADI YETU YA VIWANJA🔥

Karibu uje utembelee miradi yetu ya viwanja vya gharama nafuu hapa....hii ni fursa ya kweli ya kumiliki ardhi!

📍 MIRADI TULIYONAYO:
Pangani | Kimbiji Puna | Kibamba Shule | Ras Bamba | Visiga Madafu | Vumilia Ukoni

✅ HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO:
Maji | Umeme | Barabara | Majirani tayari

⚡ Usisubiri kesho......chukua hatua leo na ujionee mwenyewe thamani ya uwekezaji wako!

📞 Wasiliana nasi sasa kupitia Perfect Property Co. Ltd
0626 783 900 | 0768 579 000

Address

Mwenge, Bamaga
Dar Es Salaam
DORATOWER4THFLOOR

Telephone

+255626783900

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Real Estate Expert posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Real Estate Expert:

Shortcuts

Share

Category