19/11/2026
Millenials kujeni hapa kidogo mtuambie mbona mlikuwa mnaita shamba Shaake🤣
Na Nyumba nayo mnaita Keja, Gari mnaita Ndai, airtime mnaita Bamba🤣
Anyway, k**a wewe ni millenials unafaa uwe na shaake kadhaa, including hii ya kesho ya 650K. In fact unafaa kununa k**a Tano pamoja na ya watoto wako gen alpha🤣
Tupigie Leo Tukupeleke Site
Contact Us
0710558041
📍 Modern Center Building, 1st Floor, Office 116, Kitengela