Elimu & Maarifa.

Website

Elimu & Maarifa. kutoa elimu rahisi na Burudani Kwa lugha ya Kiswahili

03/06/2026

Je? Ni sahihi kwa mwanamke kumuelezea mwanaume (ambae sio mume wake wala mwanaume ambae yupo nae kwenye mahusiano) hisia zake?.

Ukweli ni kwamba maji ya Moto yanawahi kuganda kuliko ya baridi Kwa sababu •kiasi kikubwa cha maji hupotea Kwa njia ya m...
26/12/2025

Ukweli ni kwamba maji ya Moto yanawahi kuganda kuliko ya baridi Kwa sababu
•kiasi kikubwa cha maji hupotea Kwa njia ya mvuke (evaporation) na hivyo kufanya kiasi kidogo cha maji ambacho ni rahisi kuganda.
•Mpemba effects ni sababu mojawapo inayofanya maji ya Moto yagande Kwa baraka (Hali Fulani ya joto kwenye kifaa kimoja na Hali ya mazingira kuzunguka maji hayo.

According to physics' kuna jamĂ a moja anaitwa NEWTON'S ambaye aligundua kanuni ya upoaji na akaadai kwamba maji ya baridi au maji yenye joto la chini ndo yanaganda haraka kitu ambacho kinawafanya wanafizikia wengi mpaka Leo kuamini hvo kutokana na jamaa huyo kuonekana kwamba kwenye masala mengi ya fizikia. NEWTON'S Aligundua kanuni iitwayo "Newton's law of cooling" ambayo inasema kwamba "Kiasi cha JOTO cha kitu Fulani kinachopotezwa katika muda Fulani, kinategemeana na utofauti wa jotoridi Kati ya hicho kitu na mazingira yanayokizunguka hicho kitu endapo Tu k**a kuna utofauti wa jotoridi lao ni dogo.

Je? Wewe mdau na msomi Una mtazamo gani au mawazo gani katika hili.

24/12/2025
đź”´đź”´đź”´Akilini mwake saivi anawaza Manchester city tu kwenye carrier yake ya mpira kwenda kutengeneza historia pengine Kwa k...
23/12/2025

🔴🔴🔴Akilini mwake saivi anawaza Manchester city tu kwenye carrier yake ya mpira kwenda kutengeneza historia pengine Kwa kubeba mataji na kucheza mashindano makubwa. Ni nafasi nzuri kwako katika historia ya mpira Antoine semenyo, dili hili linatarajiwa kukamilika katika dirisha dogo la usajili mwezi January⌛⏳

22/12/2025

KIPI KATI YA MAJI YENYE JOTO LA JUU (YA MOTO) NA MAJI YA BARIDI (JOTO LA CHINI) YANAWAHI KUGANDA??

Address

Kilimanjaro
Moshi
LONGUOA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu & Maarifa. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category