Charles W Nanyaro

Call Contact the business

Charles W Nanyaro C O at Leven Land and Property

04/09/2026

Arusha tourism industry is booming
Investment in commercial buildings and residential apartments and enjoy your financial returns 😀

04/09/2026

Jummah Mubarak

PROPOSAL CONCEPT FOR: DAR ES SALAAM SMART PEDESTRIAN MARKET & STREET VENDOR KIOSK PROGRAM
02/09/2026

PROPOSAL CONCEPT FOR: DAR ES SALAAM SMART PEDESTRIAN MARKET & STREET VENDOR KIOSK PROGRAM

02/09/2026

Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan kwa maoni yangu naona
ku solve hili tatizo ni
Kwanza ni Kutambua na kuainisha maeneo yenye wateja wengi lakini yasiyozuia barabara na watembea kwa miguu.
Weka vinanda temporary
Kutoza ada ndogo na nafuu, ili wasiogope maeneo rasmi
Tengeneza vibanda vya kisasa na pedestrian markets karibu na vituo vya daladala na maeneo ya biashara.
Wapangwe kwa aina za biashara: nguo, chakula, phone accessories matunda, n.k.
Wasajiliwe kidigitali na wapatiwe vitambulisho na namba za maeneo.

Tafiti za 2023/24 zimeweka idadi ya street vendors (wamachinga) Dar es Salaam ni kati ya 700,000 hadi zaidi ya milioni 1, lakini hizi ni estimates na si hesabu rasmi ya sasa

Kwa haraka tu ukiwaboreshea mazingira na kuwapanga kisasa wanauwezo wa kulipa elf 1000 kila siku
1000×700000×30 ni Billion 21 kwa mwezi kwa mwaka ni 2.52 Trillion

Ila kwasasa tupambana kupiga na kufukuzana wakati hii ni fursa
Kwa maono yangu hii fursa kwa taifa na kuwajengea uwezo wananchi wenye kipato kidogo.

Mh. Samia Suluhu Hassan ku solve hili tatizo niKutambua maeneo yenye wateja wengi lakini yasiyozuia barabara na watembea...
02/09/2026

Mh. Samia Suluhu Hassan
ku solve hili tatizo ni
Kutambua maeneo yenye wateja wengi lakini yasiyozuia barabara na watembea kwa miguu.
Weka vinanda temporary
Kutoza ada ndogo na nafuu, ili wasiogope maeneo rasmi
Tengeneza vibanda vya kisasa na pedestrian markets karibu na vituo vya daladala na maeneo ya biashara.
Wapangwe kwa aina za biashara: nguo, chakula, phone accessories matunda, n.k.
Wasajiliwe kidigitali na wapatiwe vitambulisho na namba za maeneo.

Tafiti za 2023/24 zimeweka idadi ya street vendors (wamachinga) Dar es Salaam ni kati ya 700,000 hadi zaidi ya milioni 1, lakini hizi ni estimates na si hesabu rasmi ya sasa

Kwa haraka tu ukiwaboreshea mazingira na kuwapanga kisasa wanauwezo wa kulipa elf 1000 kila siku
1000×700000×30 ni Billion 21 kwa mwezi kwa mwaka ni 2.52 Trillion

Ila kwasasa tupambana kupiga na kufukuzana wakati hii ni fursa
Kwa maono yangu hii fursa kwa taifa na kuwajengea uwezo wananchi wenye kipato kidogo.

02/09/2026

Dodoma remains one of Tanzania's most interesting property markets because of continued urban growth, government activity, infrastructure development, and increasing investor interest. Recent 2026 reports also indicate continued efforts to improve land allocation and attract investors. �
The Respondents +2
1. Residential plots and housing 🏠
Good opportunities include:
Buying land in emerging neighborhoods before full development
Building houses for government employees and professionals
Developing apartments and modern rental homes
Serviced plots with roads, water, and electricity

01/09/2026

Key Real Estate Investment Hubs
​Dar es Salaam: The commercial capital remains the primary market for premium residential and commercial spaces, with high demand concentrated in upscale neighborhoods like Masaki, Oyster Bay, and Upanga.
​Dodoma: The designated national capital continues to experience strong capital appreciation and rental yield growth for Grade A offices, conferencing infrastructure, and residential housing following government relocation.

Ownership Frameworks for Investors
​Mainland Tanzania: All land is public and managed by the government. Non-citizens and foreign entities generally cannot own freehold land directly; instead, investments are structured via long-term leases and derivative rights secured through the Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA / TIC) for qualified commercial or residential projects. Individual apartment units can also be acquired under the Unit Titles Act.
​Affordable Housing Demand: A nationwide housing shortage exceeding 3 million units creates steady baseline demand for multi-family developments and modest

31/08/2026

🇹🇿Tanzania yangu, my pride, my home. I will always love you! 🔥🇹🇿

31/08/2026

🏠Thamani ya kudumu
Ardhi ni mali inayoweza kubaki na thamani kwa muda mrefu na kurithishwa kwa familia.
📈 Kuongeza thamani ya mtaji
Eneo likianza kuendelezwa—barabara, umeme, maji, biashara na makazi—thamani ya ardhi inaweza kuongezeka.
💰 Chanzo cha utajiri wa baadaye
Kijana anaweza kununua kiwanja leo, akakiendeleza au kukiuza baadaye kwa thamani kubwa zaidi.
🏢 Fursa za biashara
Ardhi inaweza kutumika kujenga nyumba za kupanga, maduka, maghala, ofisi, hoteli, vituo vya huduma au miradi mingine.
🌾 Kilimo na ufugaji
Ardhi ya kilimo inaweza kuwa chanzo cha mapato kupitia mazao, mifugo, ufugaji wa kuku, bustani na shughuli nyingine.
🛡️ Usalama dhidi ya kupanda kwa gharama za ardhi
Bei ya ardhi katika maeneo yanayokua inaweza kupanda. Kumiliki mapema kunaweza kumsaidia kijana kupata nafasi kabla bei haijawa juu.
👨‍👩‍👧‍👦 Urithi kwa kizazi kijacho
Ardhi inaweza kuwa msingi wa mali ya familia na kuwapa watoto fursa nzuri baadaye.
🚀 Uhuru wa kupanga maisha yako
Ukiwa na ardhi yako, una uwezo wa kuamua nini cha kujenga na ni mradi gani wa kuendesha kulingana na uwezo wako

Layout plan
27/08/2026

Layout plan

Address

Kigamboni
Kigamboni

Telephone

+255692275216

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charles W Nanyaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Charles W Nanyaro:

Shortcuts

Share

Category