LandLai

Call Website

LandLai LandLai Investment is the marketing company which deals with real estate properties such as land, housing and constructions.

18/09/2026

Ntyuka Dodoma

17/09/2026
16/09/2026

yuka jijini Dodoma

SQM 3072 = 30M

Sifa zake
Vipo umbali wa km 7 mpaka 10 kutoka Mjini
Vipo umbali wa km 7 kutoka Trrasury Square
Vipo Umbali wa km 4 kutoka DCMC Hospital
Vipo umbali wa km 4 kutoka SGR

KWANINI NTYUKA
Ndio sehemu pekee iliyo karibu na mjini unapata
viwanja vya bei nafuu kwa sasa
Eneo lililo karibu Ntyuka pale Mkalama viwanja
Vimepanda bei kubwa sana.
Pia miundombinu imeanza kujengwa Ntyuka

PiaViwanja viwili vikubwa vinauzwa hapa
tuna viwanja vingine vingi
Sqm 550 = 6.5M
Sqm 600 = 7.2M
SQM 978 = 12M
Sqm 842 = 10M
Sqm 467 = 5.5M

Wasiliana nasi
0656488927
0696079036

26/01/2026

Miliki kiwanja Ntyuka Dodoma, Km 7 tu kutoka Dodoma Mjini.

Ukubwa: Sqm 700 - 2600 SQM
BEI: 10M TSH na kuendelea

Pamepimwa na kuthibitishwa na Mamlaka za Ardhi

ー
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIMEFIKA SITE.
• Makazi ya kisaza
• Maji
• Umeme
• Barabara

RATIBA YA KWENDA SITE
Kila siku Kuanzia Jumatatu - Jumapili

Muda: Muda wote wa kazi

Wasiliana nasi simu :
0656488927 / 0696079036

Fuatilia ukurasa wetu

03/10/2025

Viwanja vinauzwa Michese Jijini Dodoma
Vipo km 5 kutoka Dodoma Mjini
Vipo opposite na eneo la Itega
Panafikika kirahisi
Miundombinu ya barabara ni kiwango cha lami
Maji na umeme vipo
Tayari kuna lodge na Apartments eneo hili

K**a unahitaji kiwanja katika eneo hili tutumie ujumbe inbox au wasiliana nasi 0656488927 au 0696079036

Karibu tuwekeze jijini Dodoma

31/07/2025

4KM kutoka SGR
9KM kutoka Dodoma Mjjni
Vimepimwq kabisa
Umeme na maji
Ni sehemu mpya na inayojengeka

Wasiliana nasi 0656488927

27/07/2025

Kwa hivi sasa Jiji la Dodoma ni moja kati ya majiji maarufu yanaendelea kwa kasi katika uwekezaji.

Karibu LandLai tukupe viwanja vya makazi na biashara.

22/07/2025

Moja ya eneo lilozungukwa na maeneo potential hapa jijini Dodoma basi Mwangaza ni mojawapo. Ni eneo la kimkakati lenye viwanja vikubwa likiruhusu uwekezaji wa makazi na biashara.

Ukiwa unatokea Dar es salaam basi Mwangaza ipo baada ya kisasa, na upande wa juu imekaribiana na Njedengwa Inv Area huku kusini likipakana na Nzuguni na Iyumbu.

Ni eneo lililopo karibu kabisa na Dododma mjini likiwa na miundombinu ya kisasa, mpangilio mzuri wa makazi na huduma za kijamii

Hapa tuna viwanja kuanzia ukubwa wa sqm 1500 mpaka 4000 kwa makazi au biashara

Wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0656488927

21/07/2025

Maeneo k**a Iyumbu, Ihumwa na Mtumba ni maeneo mazuri ya kuishi ndani ya jiji la Dodoma.

Ni maeneo yaliyokaa kimkakati na yenye miundombinu imara na huduma za kijamii

Je ungependa kuwekeza iwe makazi au biashara katika maeneo haya ? Wasiliana nasi 0656488927

Address

Gaddafi Street
Dodoma
41000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255656488927

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LandLai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share