07/11/2026
OFA YA VIWANJA β MBAGALA MBANDE MIPEKO
ANZA NA LAKI 5 TU AU 50% YA BEI
Kisha LIPA KIDOGO KIDOGO ndani ya miezi 3, 4 hadi 6.
π 0759068908 / 0687289917
π MAHALI: MBAGALA β MBANDE MIPEKO
Jirani na Uwanja wa Azam, Dar es Salaam, Wilaya ya Temeke, Kata ya Chamazi.
π Umbali kutoka Uwanja wa Azam hadi kwenye viwanja ni takribani KM 3β4 tu.
π JINSI YA KUFIKA:
Panda gari kutoka Kariakoo, Temeke, Tandika, Posta au Buza kuelekea Mbande.
π° Nauli hadi Mbande Magengeni: Tsh 700/=
Ukifika Magengeni:
ποΈ Bodaboda: Tsh 1,000/=
πΊ Bajaji: Tsh 700/=
β‘οΈ Hadi Mipeko β Site zetu zilipo.
π° BEI ZETU
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 1,300,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 1,500,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 1,600,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 1,800,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 2,000,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 2,500,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 3,000,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 4,000,000/=
π Fut 50 Γ 40 = Tsh 5,500,000/=
π Ukubwa sawa lakini bei zinatofautiana kulingana na eneo.
π Pia unaweza kuunganisha viwanja viwili au zaidi.
π UKUBWA KWA SQUARE METERS
βͺοΈ 12 Γ 15 = 180 SQM
βͺοΈ 12 Γ 30 = 360 SQM
βͺοΈ 24 Γ 15 = 360 SQM
βͺοΈ 20 Γ 20 = 400 SQM
βͺοΈ 24 Γ 30 = 720 SQM
βͺοΈ 24 Γ 45 = 1,080 SQM
βͺοΈ 30 Γ 36 = 1,080 SQM
π‘ HUDUMA ZILIZOPO
β‘ Umeme upo
π§ Maji yapo
π« Shule zipo
π₯ Zahanati zipo
π£οΈ Barabara za uhakika
π Gari linafika mpaka kwenye kila kiwanja
π TUNAPATIKANA KILA SIKU
Kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.
π₯ USIKOSE OFA HII!
K**a unatafuta kiwanja bora kwa makazi au biashara, tupigie simu tukusaidie kupata eneo linalokufaa. Viwanja vya kutosha na tambarare
π 0759068908
π 0687289917