27/10/2026
Kutoka kwenye kuchoka mpaka kuwa mnyama wa barabarani! Hii ni Land Rover Defender ya mwaka 1990 iliyopitia mikono salama hapa Triple E Euro Auto Garage.
Tunabadilisha muonekano na kurejesha ubora wa kizamani kwa kiwango cha juu kabisa! π οΈπͺ
π Fika leo au tuandikie DM kwa ajili ya upgrade ya gari lako la ndoto. Tunapatikana Bunj A Kwa Jeshi! Karibu tukuhudumie.
TanzaniaCars CarUpgrades