Stunner Viwanja

Call Contact the business

Stunner Viwanja WAUZAJI WA VIWANJA NA MASHAMBA
💥Miliki Viwanja Vilivyo Pimwa
💥Miliki Mashamba Yaliopimwa
☎️ Tupigie simu 0659491608

🍀Shambani
15/11/2026

🍀Shambani

✅ Zaidi ya kuwa BM , umekuwa mentor na kiongozi wa kweli kwangu. Asante kwa kunijengea uwezo, kunishirikisha uzoefu na k...
14/11/2026

✅ Zaidi ya kuwa BM , umekuwa mentor na kiongozi wa kweli kwangu. Asante kwa kunijengea uwezo, kunishirikisha uzoefu na kunihamishia ujuzi wa kiuongozi. Nimejifunza mengi kutoka kwako. Heshima daima BM MKONGWE 🫡🔥

✅Shambani With The MBEZI BEACH BM Himself OMARY RAMADHANI OMARY

14/11/2026

🍀Shambani Site visitation leo

🍀Mmetisha Matajiri kwa Kuja kuwekeza 🔥

✅Jumamosi is for site 🔥

🍀ujanja ni kuwekeza

💥Site Visitation Today 🙏 Asanteni Maboss kwa kuendelea kutembelea site zetu za mashamba ✅Speech Time with Investors 🍀Jum...
14/11/2026

💥Site Visitation Today 🙏 Asanteni Maboss kwa kuendelea kutembelea site zetu za mashamba

✅Speech Time with Investors

🍀Jumamosi is For Site 🔥

13/11/2026

☎️0659491608

13/11/2026

✅Twenzetu Site kesho Jumamosi

🍀 Safari zinaanzia Mwenge sheli ya puma Muda ni saa 2 na nusu Asubuhi. Nauli ya site Elf 12 Tu kwenda pamoja na kurudi. Tutapita miradi miwili Mashamba pamoja na viwanja vya makazi

🔥 Don’t Plan To miss , Book Now

☎️0659491608

🔥 MWEZI HUU NI WA FURSA KIBAOO!!  – MILIKI SHAMBA KIWANGWA, BAGAMOYO 🔥🍀 Je, unatafuta shamba la kilimo, ufugaji , Makazi...
13/11/2026

🔥 MWEZI HUU NI WA FURSA KIBAOO!!  – MILIKI SHAMBA KIWANGWA, BAGAMOYO 🔥

🍀 Je, unatafuta shamba la kilimo, ufugaji , Makazi au uwekezaji wa muda mrefu? Karibu Kiwangwa Bagamoyo 

🍀 Mashamba yaliyopimwa yanapatikana katika eneo lenye mazingira mazuri na fursa kubwa za maendeleo.

🍀Mashamba yamepimwa katika ukubwa wa kuanzia Ekari moja na zaidi (70 kwa 70)

🍀Mashamba yapo umbali wa km 8 Tu  kutoka barabara kuu ya lami ya Msata Road

🍀 Huduma za kijamii zipo jirani na mashamba ,Mashamba yapo jirani na center ya kijiji.

💰 BEI MAALUMU
✅ Ekari 1 = TSh 2,000,000 Tu
✅Lipa kidogo kidogo kwa miezi 20
✅Kianzio ni TSh 100,000 tu kwa Ekari 1.

Mfano:
🔸Ekari 1 – TSh 100,000 kwa mwezi
🔸Ekari 2 – TSh 200,000 kwa mwezi
🔸Ekari 3 – TSh 300,000 kwa mwezi
🔸Ekari 5 – TSh 500,000 kwa mwezi
🔸Ekari 10 – TSh 1,000,000 kwa mwezi

🍀Eneo linafaa kwa Kilimo Cha
✅Mananasi , Ndizi, ufuta,Nyanya
✅ Papai ,Maembe , korosho
✅ Machungwa,Mboga mboga
✅Kilimo cha miti, mihogo,pension. Na mazao mengine mengi

🍀Pia linafaa kwa shughuli mbalimbali za ufugaji kutokana na mazingira yake mazuri na uoto wa kutosha

🔸 Kwetu Ukimiliki shamba unapata nyaraka zote muhimu za umiliki kwa usalama wa uwekezaji wako 🔥.

✅SITE VISITATION NI SIKU YA JUMAMOSI

📍 Safari inaanzia Mwenge – Sheli ya Puma .Muda ni Saa 2:30 Asubuhi . Nauli ya site utachangia Elf 12,000 tu (Hii ni Kwenda na Kurudi) Tunapitia Bagamoyo Road , wakazi wa Tegeta Boko na bunju Tutawapitia Njiani.

📍Ofisi Zetu Zinapatikana Mbezi Beach – Goigi Karibu na Masana Hospital.

👇BOOK UR SITE VISITATION HERE
☎️ 0659491608
Call/Watsap

🔥 Ardhi ni mali isiyoongezeka. Wekeza leo kwa faida ya kesho!

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255659491608

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stunner Viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Stunner Viwanja:

Shortcuts

Share

Category