Ruhettah Deals Hub

Call Contact the business

Ruhettah Deals Hub Buy • Sell • Invest • Rent
Court Broker | Auctioneer 🇹🇿 Kila Tangazo lina Maelezo kamili, Picha halisi, Bei, na Mawasiliano ya uhakika.

(3)

Karibu kwenye ukurasa wa Abdideol, kituo chako cha kuaminika kwa;-
Taarifa sahihi za Mauzo ya Nyumba na Viwanja Tanzania.
Tunashughulika na:

🏠 Nyumba na Viwanja vinavyouzwa kwa Mnada wa Benki.
⚖️ Mali zinazouzwa kwa Amri ya Mahakama.
📍 Mauzo ya kawaida ya Mtu Binafsi.

Lengo letu ni kukusaidia kupata Mali salama, zenye Hati kamili, kwa Bei nafuu.

📢 Follow sasa ili usipitwe na OFA mpya kila wiki!
👉 Abdideol – Ofa Halisi, Uwazi Halisi.
🫴 Properties in Tanzania



+255 788 958 441

Yanga: Tabia ni k**a harufu, hata ukijificha hujitambulisha.👋✅️Baada ya kupokea kundi letu la   👋
28/10/2026

Yanga: Tabia ni k**a harufu, hata ukijificha hujitambulisha.👋✅️

Baada ya kupokea kundi letu la 👋

28/10/2026

🏡 MASTERBEDROOM + SEBULE + JIKO – KIMARA KOROGWE

📍 Mtaa wa Mbezi Road, Kimara Korogwe

💰 Kodi: TSh 300,000 kwa miezi 6 🤝 Dalali 1

📞 0788 958 441
_

28/10/2026
28/10/2026

🌿 SHAMBA LA HEKA 7 BIGWA, MKURANGA TSH 38M TU! 🔥

Unatafuta shamba lenye maji, miundombinu na mazao tayari? Hii ni fursa ya uwekezaji!

✅ Heka 1 ya migomba 🍌
✅ Heka 1 ya mipapai
✅ Mabanda ya kuku, ng’ombe na mbuzi
✅ Kisima kirefu chenye solar 8
✅ Njia ya gari kupitia Kiziko/Kisere, km 6–7; au njia ya pikipiki kupitia Magengeni, km 3.

💰 Bei: TSh 38,000,000 — mazungumzo yapo!

📞 0788 958 441

Ruhettah Deals Hub |

🔥 HEKA 7 BIGWA, MKURANGA — SHAMBA LENYE UWEKEZAJI TAYARI!Hapa hupati ardhi tu, unapata shamba lenye mazao na miundombinu...
28/10/2026

🔥 HEKA 7 BIGWA, MKURANGA — SHAMBA LENYE UWEKEZAJI TAYARI!

Hapa hupati ardhi tu, unapata shamba lenye mazao na miundombinu! 🌿🐄

✅ Heka 1 migomba + heka 1 mipapai
✅ Mabanda ya kuku, ng’ombe na mbuzi
✅ Kisima kirefu + solar 8 za maji
🚗 Njia ya gari km 6–7 kupitia Kiziko/Kisere
🏍️ Magengeni, km 3 kwa pikipiki

💰 Bei: TSh 38M (mazungumzo yapo!)

📞 0788 958 441

Ruhettah Deals Hub |

Kigamboni Kimbiji Hiyo✅️Mradi Mpya Huu Ukikosa Hapa Lia😊    Rundo🫡🫡_📞🤙 0788 958 441
28/10/2026

Kigamboni Kimbiji Hiyo✅️
Mradi Mpya Huu Ukikosa Hapa Lia😊
Rundo🫡🫡
_
📞🤙 0788 958 441

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255717614894

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruhettah Deals Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ruhettah Deals Hub:

Shortcuts

Share