Hody App

Hody App Hody is Tanzania's own home-booking platform. Hodi? Karibu — book your stay today.

Find and book verified apartments, guesthouses, and homes in any city across the country — fair prices, real hosts, zero hidden fees.

Hadithi ya Desemba · Sehemu 1: Mpango 📖Neema yuko Dar. Watoto wako likizo. Bibi yuko Arusha. Mwaka huu, Krismasi yote ni...
15/11/2026

Hadithi ya Desemba · Sehemu 1: Mpango 📖
Neema yuko Dar. Watoto wako likizo. Bibi yuko Arusha. Mwaka huu, Krismasi yote ni Arusha… lakini nyumba ya bibi ni ndogo kwa watu sita.
Kila Jumapili hadi mwisho wa mwaka, sehemu mpya. Fuata usikose.
— A December story in 7 parts. New episode every Sunday.

(Hadithi ya kubuni)
hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Leo ni Siku ya Wema Duniani. 🤍“Karibu” ni neno la wema. Asante kwa kila mwenyeji anayefungua mlango wake, na kila mgeni ...
13/11/2026

Leo ni Siku ya Wema Duniani. 🤍
“Karibu” ni neno la wema. Asante kwa kila mwenyeji anayefungua mlango wake, na kila mgeni anayeheshimu nyumba ya mwingine.
Tag mwenyeji aliyekukaribisha vizuri 👇
— World Kindness Day.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Safari ya kikazi? Kaa k**a nyumbani, si hotelini. 💼Meza ya chakula, kitanda safi, AC na maji ya moto. Malizia kazi, pumz...
12/11/2026

Safari ya kikazi? Kaa k**a nyumbani, si hotelini. 💼
Meza ya chakula, kitanda safi, AC na maji ya moto. Malizia kazi, pumzika vizuri.
— Work trip? Stay like you live there.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Kwa nini tunaitwa Hody? 🚪Kwa sababu Tanzania tunaingia nyumbani kwa mtu kwa kubisha hodi, na tunakaribishwa. Hody imejen...
11/11/2026

Kwa nini tunaitwa Hody? 🚪
Kwa sababu Tanzania tunaingia nyumbani kwa mtu kwa kubisha hodi, na tunakaribishwa. Hody imejengwa juu ya maneno hayo mawili: Hodi? Karibu.
— Why we’re called Hody.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

10/11/2026
10/11/2026

Desemba inakaribia. 🎄
Kuwatembelea ndugu, familia nzima pamoja, au mapumziko ya mwaka: panga mapema.
Ghairi bila malipo hadi siku 3 kabla ya kuingia.
— December is coming. Book early.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Hody kwenye skrini ya simu yako, bila kupakua programu nzito. 📱Android: Chrome → ⋮ → “Install app” au “Add to Home scree...
09/11/2026

Hody kwenye skrini ya simu yako, bila kupakua programu nzito. 📱
Android: Chrome → ⋮ → “Install app” au “Add to Home screen”.
iPhone: Safari → Shiriki → “Add to Home Screen”.
Hifadhi post hii kwa baadaye 🔖
— Add Hody to your home screen.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

06/11/2026

Ijumaa usiku. Taa za bwawa. Utulivu. 🌙
Wikendi inaanzia hapa. Bisha hodi kwenye Hody.
— Friday night starts here.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Mliuliza, tunajibu. 💬• Nalipaje? Kwa simu, ndani ya app.• Naweza kughairi? Ndiyo, bila malipo hadi siku 3 kabla.• Namba ...
05/11/2026

Mliuliza, tunajibu. 💬
• Nalipaje? Kwa simu, ndani ya app.
• Naweza kughairi? Ndiyo, bila malipo hadi siku 3 kabla.
• Namba ya mwenyeji? Inaonekana ukishalipa.
• Usilipe nje ya Hody.
Swali jingine? Tuandikie kwenye comments au WhatsApp.
— Your questions, answered.

hodyapp.com · kiungo kipo kwenye bio

Address

Uzunguni Street, Near Christ
Arusha
10417

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hody App posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share